// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SPURS YANUSA FAINALI KOMBE LA LIGI ENGLAND - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SPURS YANUSA FAINALI KOMBE LA LIGI ENGLAND - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, January 22, 2015

    SPURS YANUSA FAINALI KOMBE LA LIGI ENGLAND

    Tottenham striker Emmanuel Adebayor, who was jeered by fans, tries to evade the challenge from Sheffield United's Michael Doyle
    Mshambuliaji wa Tottenham, Emmanuel Adebayor, akijaribu kumtoka beki wa Sheffield United, Michael Doyle katika mchezo wa Nusu Fainali ya kwanza Kombe la Ligi England, maarufu kama Capital One Cup Uwanja wa White Hart Lane, London. Spurs ilishinda 1-0, bao pekee la Andros Townsend kwa penalti baada ya Jay McEveley kuunawa mpira kwenye eneo la hatari. Nusu Fainali ya pili itachezwa Uwanja wa Bramall Lane Jumatano ijayo na mshindi wataakutana na mshindi kati ya Liverpool au Chelsea kwenye Fainali Uwanja wa Wembley 


    PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2920708/Tottenham-1-0-Sheffield-United-Andros-Townsend-penalty-gives-Mauricio-Pochettino-s-slender-leg-lead-Blades-Capital-One-Cup-semi-final.html#ixzz3PWA9dGKX 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SPURS YANUSA FAINALI KOMBE LA LIGI ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top