• HABARI MPYA

  Friday, January 23, 2015

  DRC SARE TASA NA CAPE VERDE AFCON

  Yannick Bolasie wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Carlos Calu Lima wa Cape Verde kulia wakati wa mchezo wa Kundi B Kombe la Mataifa ya Afrika Uwanja wa Nuevo Ebebiyin usiku huu. Timu hizo zilitoka sare ya bila kufungana.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DRC SARE TASA NA CAPE VERDE AFCON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top