• HABARI MPYA

  Jumatano, Januari 28, 2015

  THIERRY HENRY AANZA KUPANDA MILIMA YA KUUFUATA UKOCHA

  NAHODHA wa zamani wa Arsenal, Thierry Henry ameanza kupanda milima ya kuelekea kuwa kocha, baada ya kwenda kupata mafunzo ya ukocha katika kozi ya Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA) huko Wales.
  Mshambuliaji huyo wa zamani wa Arsenal, ambaye hivi karibuni alianza za uchambuzi wa mchezo wa soka katika Televisheni ya Sky Sports, hajafanya siri juu ya nia yake ya kuwa kocha.
  Na harakati hizo zimeanza baada ya Henry kwenda Wales kupata kozi ya leseni B ya UEFA B.
  Thierry Henry (right) shakes hands with Welsh national team technical director Osian Roberts after his UEFA coaching course which the former Arsenal striker undertook in Wales
  Thierry Henry (kulia) akipeana mikono na Mkurugenzi wa timu ya taifa ya Wales, Osian Robertsbaada ya kumaiza kozi yake ya ukocha ya UEFA huko Wales
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: THIERRY HENRY AANZA KUPANDA MILIMA YA KUUFUATA UKOCHA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top