• HABARI MPYA

  Friday, January 23, 2015

  YANGA NA POLISI KESHO MORO, SIMBA NA AZAM JUMAPILI TAIFA

  LIGI Kuu ya Vodacom Tanzania Bara inaingia raundi ya 12 wikiendi hii kwa mechi saba. Kesho (Januari 24 mwaka huu) kutakuwa na mechi kati ya Polisi Morogoro na Yanga kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
  Mechi za Jumapili ni kati ya Azam na Simba (Uwanja wa Taifa), Kagera Sugar na Ndanda (Uwanja wa CCM Kirumba), Stand United na Coastal Union (Uwanja wa Kambarage), Mbeya City na Tanzania Prisons (Uwanja wa Sokoine), Ruvu Shooting na Mtibwa Sugar (Uwanja wa Mabatini), na JKT Ruvu na Mgambo Shooting (Uwanja wa Azam Complex).
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA NA POLISI KESHO MORO, SIMBA NA AZAM JUMAPILI TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top