• HABARI MPYA

  Thursday, January 29, 2015

  SIMBA SC NA MBEYA CITY KATIKA PICHA JANA TAIFA

  Winga wa Mbeya City, Idrisa Rashid (kuhsoto) akipambana na beki wa Simba SC, Abdi Banda katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana. Mbeya City ilishinda 2-1.

  Mshambuliaji wa Simba SC, Dan Sserunkuma kulia akiwania mpira wa juu dhidi ya beki wa Mbeya City, Hamad Kibopile

  Mshambuliaji wa Simba SC, Ibrahim Hajibu akimtoka beki wa Mbeya City, Richard Peter

  Wachezaji wawili wa Mbeya City wakipambana na wachezaji wanne wa Simba SC. Mwenye mpira ni Ibrahim Twaha 'Messi' wa Simba, huku wenzake wakiwa tayari kutoa msaada na anayekaba wa Mbeya City ni Yussuf Abdallah  

  Beki wa Nbeya City, Richard Peter akimdhibiti winga wa Simba SC, Ramadhani Singano 'Messi'

  Beki wa Simba SC, Nassor Masoud 'Chollo' kushoto akiruka juu kupiga mpira kichwa dhidi ya Deus Kaseke wa Mbeya City

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC NA MBEYA CITY KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top