| Mshambuliaji wa Ghana, Asamoah Gyan akishangilia baada ya kuifungia bao pekee la ushindi Black Stars ikiilaza 1-0 Algeria Uwanja wa Mongomo, Equatorial Guinea katika mchezo wa Kundi C Kombe la Mataifa ya Afrika leo. Ushindi huo umefufua matumaini ya Ghana iliyofungwa 2-1 katika mchezo wa kwanza na Senegal kutinga hatua ya mtoano. Itacheza mechi ya mwisho na Afrika Kusini. |
0 comments:
Post a Comment