• HABARI MPYA

  Sunday, January 25, 2015

  BARCELONA YAFANYA MAUAJI LA LIGA, YACHAPA MTU 6-0

  BARCELONA wameifumua mabao 6-0 Elche katika mchezo wa La Liga usiku wa Jumamosi. 
  Mabao ya Barca yamefungwa na Gerard Pique dakika ya 36, Lionel Messi kwa penalti dakika ya 54 na 88, Neymar dakika ya 69 na 71 na Pedro dakika ya 90 na ushei.
  Kikosi cha Elche kilikuwa; Tyton, Suarez, Roco, Pelegrin, Cisma/Albacar Gallego dk61, Gonzalez Morales, Rodriguez Lomban dk70, Pasalic, Rodriguez Romero, Fajr, Niguez Esclapez na Jonathas de Jesus.
  Barcelona; Bravo, Montoya, Pique, Bartra, Alba/Busquets dk70, Xavi/Sergi dk72, Mascherano/Adriano dk70, Rafinha, Pedro, Messi na Neymar. 
  The Barcelona starting XI pose for a photo before taking on La Liga minnows Elche on Saturday evening
  Kikosi cha Barcelona kilichofanya mauaji dhidi ya Elche Jumamosi

  PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2924749/Elche-0-6-Barcelona-Lionel-Messi-Neymar-strike-doubles-pressure-Real-Madrid.html#ixzz3PmZEXgl6 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BARCELONA YAFANYA MAUAJI LA LIGA, YACHAPA MTU 6-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top