• HABARI MPYA

  Friday, January 30, 2015

  ARSENAL YAMKATAA TIOTE, WENGER ASEMA ANATAKA MKALI ZAIDI

  KLABU ya Arsenal imekataa ofa ya kumsajili kiungo wa Newcastle, kiungo Cheick Tiote.
  The Gunners wamepewa ofa ya kumsajili kiungo huyo wa Ivory Coast kuelekea kufungwa dirisha dogo la usajili Jumatatu.
  Lakini wamekataa ifa hiyo ya kumsajili kiungo huyo mkabaji na japokuwa kocha Arsene Wenger anataka kiungo wa aina ya Tiote, lakini amesema anataka mkali kuliko huyo. 
  Tiote, ambaye anaweza kugharimu Pauni Milioni 12, yuko huru kuondoka St James' Park akapate changamoto mpya.
  Arsenal have turned down the chance to sign Newcastle midfielder Cheick Tiote before Monday's deadline
  Arsenal imemkataa kiungo wa Newcastle, Cheick Tiote
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YAMKATAA TIOTE, WENGER ASEMA ANATAKA MKALI ZAIDI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top