• HABARI MPYA

  Alhamisi, Januari 29, 2015

  SERENA ATINGA FAINALI AUSTRALIAN OPEN, AMCHAPA MADISON KEYS SETI ZOTE


  Serena Williams akishangilia baada ya kumfunga Madison Keys katika seti mfululizo na kutinga fainali ya michuano ya Australian Open. Serena Williams alimshinda Madison Keys kwa 7-6, 6-2 katika Nusu Fainali hiyo na sasa atapambana na mcheza tenisi bora mbili, Maria Sharapova katika fainali Jumamosi. Sharapova ametinga fainali baada ya kumfunga Mrusi mwenzake, Ekaterina Makarova kwa 6-3, 6-2. 
  Williams na Keys wakipeana mikono baada ya mechi yao

  PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/tennis/article-2930886/Serena-Williams-keeps-Australian-Open-title-hopes-alive-beats-American-teen-Madison-Keys-make-final.html#ixzz3QCACC5SR 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SERENA ATINGA FAINALI AUSTRALIAN OPEN, AMCHAPA MADISON KEYS SETI ZOTE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top