• HABARI MPYA

  Thursday, January 22, 2015

  MALINZI AMUAMBIA MANYIKA ADAKE KAMA BABA YAKE

  Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi akiwa na kipa Peter Manyika wa timu ya vijana chini ya umri wa miaka 23 ya taifa, maarufu kama Taifa Stars Maboresho kabla ya mchezo dhidi ya Rwanda jana Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza jana. Kulia ni Nahodha wa timu hiyo, Simon Msuva. Malinzi alimuambia Peter Manyika adake kwa kiwango cha baba yake, Manyika Peter aliyewahi kuwa kipa namba moja wa Taifa Stars na klabu ya Yanga na kwa bahati nzuri kipa huyo wa Simba alifanya kazi nzuri.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MALINZI AMUAMBIA MANYIKA ADAKE KAMA BABA YAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top