• HABARI MPYA

  Friday, January 23, 2015

  TAIFA STARS MABORESHO NA RWANDA KATIKA PICHA JANA KIRUMBA


  Kiungo wa timu ya vijana chini ya umri wa miaka 23 ya Tanzania, maarufu kama Taifa Stars Maboreho, Salum Telela, akitafuta mbinu za kumtoka kiungo wa Tanznia Rusheshangoma Michael Rusheshangonga katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa jana Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza , timu hizo zilitoka sare ys 11
  Kiungo wa Taifa Stars Mboresgakipambana na bei wa reand
  Mshambuliaji wa Taifa Stars, Simon Msuva kimtoka jean Baotiset Muigarenza
  Kiungo wa Taifa Stars, Kevin Friday akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa Rwanda 
  Beki wa Tanzania, Gardiel Michael akimtoka mchezaji wa Rwanda
  Beki wa Tanzania, Salim Mbonde akipasua katikati ya wachezaji wa Rwanda

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TAIFA STARS MABORESHO NA RWANDA KATIKA PICHA JANA KIRUMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top