• HABARI MPYA

  Thursday, January 29, 2015

  MBEYA CITY WALIVYOMFANYA KITU MBAYA KOCHA WA SIMBA JANA

  Kocha wa Simba SC, Mserbia Goran Kopunovic jana baada ya timu yake kufungwa bao la pili na Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara ikilala 2-1 Uwanjwa Taifa, Dar es Salaam. Hakika Mserbia huyo alionyesha dalili zote za kuvurugikiwa na kipigo hicho. Hapa, anatafuta kitu huko nyuma, au anachomekea. mimi na wewe hatujui.
  Ni maumivu ya kichwa, au jicho? Hapana, ni kipigo cha Mbeya City
  Picha ya kushoto kama anataka kuvua kizibao, katikati kazubaa, kulia nywele zinawasha. Hapana chezea Mbeya City.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MBEYA CITY WALIVYOMFANYA KITU MBAYA KOCHA WA SIMBA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top