• HABARI MPYA

  Saturday, January 24, 2015

  PACQUIAO NA AMIR KHAN WAKUBALIANA KUZIPIGA IWAPO MAYWEATHER ATACHOMOA

  MABONDIA Manny Pacquiao na Amir Khan wamekutana kusini mashariki mwa Jiji la London na kujadili uwezekano wa kuzipiga baina yao, iwapo Floyd Mayweather hatakuwa tayari kupigana na yeyote kati yao.
  Khan na Pacquiao ni marafiki na wamekuwa wakifanya mazoezi pamoja wakati fulani, wakipeana sparring na walikutana Fitzroy Lodge Boxing Club kujadili pambano baina yao.
  Walisimama ulingoni na kupiga picha baada ya mazungumzo yao. Tayari Pacquiao amekubali kuzipiga na Mayweather Mei 2 mjini Las Vegas, lakini mpinzani wake huyo ndiye bado hajatoa jibu.
  Manny Pacquiao (left) was in London on Friday to discuss a potential future fight with Britain's Amir Khan
  Manny Pacquiao (kushoto) alikuwa London Ijumaa kwa mazungumzo na Amir Khan juu ya uwezekano wa kuzipiga

  PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/boxing/article-2923739/Manny-Pacquiao-Amir-Khan-hold-informal-discussions-possible-future-bout-neither-fight-Floyd-Mayweather.html#ixzz3PgPRKTYE 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PACQUIAO NA AMIR KHAN WAKUBALIANA KUZIPIGA IWAPO MAYWEATHER ATACHOMOA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top