• HABARI MPYA

  Thursday, January 29, 2015

  HUKU ANAMSIKILIZA NDUGU MTANGAZAJI, WAKATI ANASHUHUDIA MWENYEWE MECHI 'LIVE' TAIFA

  Shabiki wa Simba SC akisikiliza matangazo ya Redio ya mechi kati ya timu yake, dhidi ya Mbeya City jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam huku akishuhudia kipute hicho yeye mwenyewe uwanjani. Simba SC ilifungwa 2-1. Baadhi ya mashabiki hupenda kwenda na Redio zao uwanjani, ili waweze kujua vizuri kinachoendelea na pia kuwafahamu wachezaji.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HUKU ANAMSIKILIZA NDUGU MTANGAZAJI, WAKATI ANASHUHUDIA MWENYEWE MECHI 'LIVE' TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top