• HABARI MPYA

  Thursday, January 22, 2015

  TUNISIA YATOKA NYUMA NA KUILAZA ZAMBIA 2-1 AFCON

  Mfungaji wa bao la Zambia, Emmanuel Mayuka (kushoto) akipambana na Rami Bedoui wa Tunisia katika mchezo wa Kundi B, Fainali za Mataifa Uwanja wa Ebebiyin nchini Equatorial Guinea leo. Tunisa ilitoka nyuma na kushinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Ahmed Akaichi dakika ya 70 na Yassine Chikhaoui dakika ya 89, wakati Mayuka aliifungia Zambia bao la kuongoza dakika ya 59.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TUNISIA YATOKA NYUMA NA KUILAZA ZAMBIA 2-1 AFCON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top