• HABARI MPYA

  Friday, January 23, 2015

  MAYWEATHER NA JEURI YA FEDHA, SASA NI FERRARI ENZO

  MBABE wa ndondi duniani, Floyd Mayweather ameendeleza mbwembwe za kuonyesha jeuri yake fedha baada ya kutambulisha gari mpya kali.
  Bondia huyo ambaye hajawahi kupoteza pambano, amewahi kuposti picha akiwa amepozi na magari yake aina ya Lamorghini, Bugatti na Porsche 911 awali katika Instagram. 
  Na baada ya kutoposti za gari hata analolimiliki tangu Januari 8, Mayweather sasa ameona ni wakati mwafaka kuwaonyesha kitu wafuasi wake Milioni 4.5 kwa kuposti picha ya gari lake jipya, Ferrari Enzo. Thamani ya gari hiyo inakadiriwa kuwa dola za Kimarekani Milioni 1. 
  Floyd Mayweather uploaded the above image to his Instagram account of his Ferrari Enzo
  Floyd Mayweather ameposti picha hii akiwa na Ferrari Enzo lake

  PICHA ZA MAGARI ZAIDI NA NDEGE YAKE NWENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/boxing/article-2923221/Floyd-Mayweather-poses-Ferrari-Enzo-takes-time-hype-surrounding-potential-Manny-Pacquiao-bout.html#ixzz3PeLmp0Jw 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAYWEATHER NA JEURI YA FEDHA, SASA NI FERRARI ENZO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top