• HABARI MPYA

  Jumatatu, Januari 26, 2015

  SIMBA SC NA AZAM FC KATIKA PICHA JANA TAIFA

  Mshambuliaji wa Simba SC, Dan Sserunkuma akimtoka kitaalamu kwa uwezo wa hali ya juu wa kumiliki mpira, beki wa Azam FC, Aggrey Morris katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare 1-1.
  Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche akimtoka beki Mohammed Hussein 'Tshabalala' wa Simba SC
  Didier Kavumbangu wa Azam FC akiwatoka wachezaji wa Azam FC, Ramadhani Singano 'Messi' kulia na Juuko Murushid
  Beki wa Azam FC, Shomary Kapombe akitafuta mipango ya kumtoka kiungo wa Simba SC, Jonas Mkude
  Kiungo wa Azam FC, Himid Mao akimuacha chini Messi wa Simba SC, huku akifukuzwa na Said Ndemla
  Mshambuliaji wa Simba SC, Simon Sserunkuma akiwatoka mabeki wa Azam FC
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA SC NA AZAM FC KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top