• HABARI MPYA

  Sunday, January 25, 2015

  LIVERPOOL SARE 0-0 NA BOLTON YA' BABU' HESKEY

  Emile Heskey showed he had lost little of his appetite for an aerial battle with the totemic striker winning a header against Emre Can
  Mshambuliaji wa Bolton Wandersr, Emile Heskey akienda juu kuwania mpira dhidi ya Emre Can wa Liverpool katika mchezo wa Kombe la FA, England Raundi ya Nne. Timu zilitoka sare ya 0-0, Liverpool wakikosa penalti iliyopigwa na Jordan Henderson, baada ya Matt Mills kumgonga Lazer Markovic kwenye boksi.

  PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2924835/Liverpool-0-0-Bolton-Wanderers-Emile-Heskey-handed-chance-knock-former-club-FA-Cup.html#ixzz3PmaxJ64L 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL SARE 0-0 NA BOLTON YA' BABU' HESKEY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top