• HABARI MPYA

  Monday, May 06, 2024

  COASTAL UNION YALAZIMISHWA SARE YA BILA MABAO NA PRISONS MKWAKWANI


  WENYEJI, Coastal Unión wamelazimishwa sare ya bila mabao na Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.
  Kwa matokeo hayo, Coastal Unión inafikisha pointi 34 ingawa inabaki nafasi ya nne, wakati Tanzania Prisons inafikisha pointi 32 nayo inabaki nafasi ya sita baada ya wote kucheza mechi 25.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: COASTAL UNION YALAZIMISHWA SARE YA BILA MABAO NA PRISONS MKWAKWANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top