• HABARI MPYA

  Sunday, May 26, 2024

  SHIME AMUITA CLARA LUVANGA TWIGA STARS YA KUCHEZA NA MALI NA SUDAN


  KOCHA Bakari Nyundo Shime amemjumuisha mshambuliaji wa Al Nasr ya Saudi Arabia katika kikosi cha wachezaji 22 cha timu ya taifa ya wanawake, Twiga Stars kwa ajili ya michezo ya kirafiki dhidi ya Mali na Sudan wiki ijayo.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SHIME AMUITA CLARA LUVANGA TWIGA STARS YA KUCHEZA NA MALI NA SUDAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top