• HABARI MPYA

  Tuesday, May 07, 2024

  GUEDE AWA MCHEZAJI BORA YANGA MWEZI APRILI


  MSHAMBULIAJI Muivory Coast, Joseph Gnadou Guede ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Yanga kwa mwezi Aprili mwaka huu.
  Guede ameshinda tuzo hiyo baada ya kuwaangusha kipa wa Mali, Djigui Diarra na kiungo mzawa, Jonás Mkude alioingia nao Fainali na kwa ushindi huo atapatiwa kitita en cha Sh. Milioni 3 kutoka kwa wadhamini, kampuni ya NIC Insurance.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GUEDE AWA MCHEZAJI BORA YANGA MWEZI APRILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top