// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
ARSENAL YAIKANDA MAN UTD 1-0 PALE PALE OLF TRAFFORD - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEARSENAL YAIKANDA MAN UTD 1-0 PALE PALE OLF TRAFFORD - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ARSENAL YAIKANDA MAN UTD 1-0 PALE PALE OLF TRAFFORD
TIMU ya Arsenal jana iliibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Manchester United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford Jijini Manchester. Bao pekee la Arsenal limefungwa na mshambuliaji Mbelgiji, Leandro Trossard dakika ya 20 na kwa ushindi huo, The Gunners inafikisha pointi 86 katika mchezo wa 37 na kurejea kileleni mwa Ligi Kuu ya England ikiwazidi pointi moja mabingwa watetezi, Manchester City ambayo pia ina mechi moja mkononi. Kwa upande wao Manchester United baada ya kupoteza mchezo huo inabaki na pointi zake 54 za mechi 36 nafasi ya nane.
Nigeria unveils new Super Eagles coach Eric Chelle
-
The Nigeria Football Federation (NFF) officially unveiled Eric Chelle as
the new head coach of the Super Eagles during a ceremony at the Moshood
Abiola Sta...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment