// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); IHEFU YAAMBULIA SULUHU KWA JKT TANZANIA UWANJA WA LITI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE IHEFU YAAMBULIA SULUHU KWA JKT TANZANIA UWANJA WA LITI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, May 09, 2024

    IHEFU YAAMBULIA SULUHU KWA JKT TANZANIA UWANJA WA LITI


    WENYEJI, Ihefu SC wamelazimishwa sare ya bila mabao na JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa CCM LITI mjini Singida.
    Kwa matokeo hayo, Ihefu SC inafikisha pointi 29 katika nafasi ya 10 na JKT Tanzania inafikisha pointi 32 nafasi ya saba baada ya wote kucheza mechi 26.
     
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: IHEFU YAAMBULIA SULUHU KWA JKT TANZANIA UWANJA WA LITI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top