• HABARI MPYA

  Thursday, May 23, 2024

  ADEMOLA LOOKMAN APIGA HAT TRICK KUIPA ATALANTA TAJI EUROPA LEAGUE


  MSHAMBULIAJI wa Kimataifa wa Nigeria, Ademola Lookman Olajade Alade Aylola Lookman jana amefunga mabao yote dakika ya 12, 26 na 75 kuiwezesha Atalanta Bergamasca Calcio kutwaa taji la UEFA Europa League kwa ushindi wa 3-0 dhidi ya Bayer 04 Leverkusen usiku wa jana Uwanja wa Aviva Jijini Dublin.
  GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ADEMOLA LOOKMAN APIGA HAT TRICK KUIPA ATALANTA TAJI EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top