• HABARI MPYA

  Sunday, May 26, 2024

  YANGA WALIVYOKABIDHIWA KOMBE LA UBINGWA WA 30 LIGI KUU

  KLABU ya Yanga jana ilikabidhiwa Kombe lao ubingwa wa tatu mfululizo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, Yanga SC baada ya mechi dhidi ya Tabora United wakiibuka na ushindi wa mabao 3-0 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA WALIVYOKABIDHIWA KOMBE LA UBINGWA WA 30 LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top