• HABARI MPYA

  Saturday, May 04, 2024

  YANGA YAWASILI KIGOMA NA KUPATA MAPOKEZI MAZURI


  KIKOSI cha Yanga kimewasili Kigoma mchana wa leo na kupata mapokezi mazuri mamia ya mashabiki wakijitokeza Uwanja wa Ndege kuwapokea wachezaji na kuongoza msafara hadi katikati ya mji.
  Mabingwa hao watetezi, Yanga watakuwa na mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Mashujaa FC kesho kuanzia Saa 10:00 jioni Uwanja wa Lake Tanganyika mjini humo.
  VÍDEO: UMATI ULIOJITOKEZA MAPOKEZI YA YANGA LEO KIGOMA
  PICHA: YANGA WALIVYOWASILI NA NDEGE YA ATCL LEO KIGOMA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA YAWASILI KIGOMA NA KUPATA MAPOKEZI MAZURI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top