• HABARI MPYA

  Wednesday, May 01, 2024

  CHAMA AFUNGIWA MECHI TATU NA FAINI JUU


  KIUNGO wa Simba SC, Clatous Chotta Chama amefungiwa mechi tatu na kutozwa faini ya Sh. Milioni 3 kwa kosa la kumkanyaga kwa makusudi beki wa Yanga, Nickson Kibabage katika mchezo wa baina ya timu hizo Aprili 20 Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  Bodi ya Ligi imechukua zaidi kwa wachezaji na klabu kwa makosa mbalimbali ya kikanuni ambazo zimeainishwa kwenye taarifa yao kamili.
  GONGA KUSOMA ZAIDI TAARIFA YA BODI YA LIGI
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHAMA AFUNGIWA MECHI TATU NA FAINI JUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top