• HABARI MPYA

  Thursday, May 16, 2024

  AZAM FC YATUA MWANZA KUIVAA COASTAL NUSU FAINALI KOMBE LA TFF


  KIKOSI cha Azam FC kimewasili salama Jijini Mwanza kwa ajili ya mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama CRDB Bank Federation Cup dhidi ya Coastal Union Jumamosi Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.
  GONGA KUTAZAMA VIDEO AZAM FC ILIVYOWASILI MWANZA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC YATUA MWANZA KUIVAA COASTAL NUSU FAINALI KOMBE LA TFF Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top