SHEREHE ZA WASHINDI WA TUZO ZA LIGI KUU ZASOGEZWA MBELE KABISA
TUZO za Washindi wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara zitatolewa baada ya mchezo wa Ngao ya Jamii kuashiria upenuzi wa Pazia la msimu mpya, imesema taarifa ya shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
0 comments:
Post a Comment