• HABARI MPYA

  Friday, May 10, 2024

  DODOMA JIJI YAAMBULIA SULUHU KWA TANZANIA PRISONS


  WENYEJI, Dodoma Jiji wamelazimishwa sare ya mabao na Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.
  Kwa matokeo hayo, Dodoma Jiji FC wanafikisha pointi 29 katika mchezo wa 25 na kupanda kwa nafasi moja hadi ya 10, wakati Tanzania Prisons wanafikisha pointi 33 katika mchezo wa 26 na kupanda kwa nafasi moja hadi ya tano.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DODOMA JIJI YAAMBULIA SULUHU KWA TANZANIA PRISONS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top