• HABARI MPYA

  Tuesday, May 14, 2024

  IHEFU YAWACHAPA PRISONS 1-0 PALE PALE SOKOINE

  BAO pekee la Marouf Tchakei jana liliipa Ihefu SC ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.
  Kwa matokeo hayo, Ihefu SC inafikisha pointi 32 na kupanda kutoka nafasi ya 11 hadi ya saba, wakati Tanzania Prisons inabaki na pointi zake 33 nafasi ya tano baada ya wote kucheza mechi 27.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: IHEFU YAWACHAPA PRISONS 1-0 PALE PALE SOKOINE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top