• HABARI MPYA

  Tuesday, May 07, 2024

  ALLY SALIM KUONGOZA TAIFA STARS MECHI ZA KIRAFIKI SUDAN


  KOCHA Hemed Suleiman ‘Morocco’ ameteua kikosi cha wachezaji 21 wa timu ya taifa ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kitakachoondoka kesho kwenda Sudan kwa ajili ya michezo miwili ya kirafiki. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ALLY SALIM KUONGOZA TAIFA STARS MECHI ZA KIRAFIKI SUDAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top