• HABARI MPYA

  Friday, May 03, 2024

  CHELSEA YAICHAPA TOTTENHAM HOTSPUR 2-0 STAMFORD BRIDGE


  WENYEJI, Chelsea wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Tottenham Hotspur jana katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London.
  Mabao ya The Blues yamefungwa na  washambuliaji, Muingereza mwenye asili ya Sierra Leon, Trevoh Chalobah  dakika ya 24 na Msenegal, Nicolas Jackson dakika ya 72.
  Kwa ushindi huo, Chelsea inafikisha pointi 51 na kusogea nafasi ya nane, wakati Tottenham Hotspur inabaki na pointi zake 60 nafasi ya tano baada ya wote kucheza mechi 34.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAICHAPA TOTTENHAM HOTSPUR 2-0 STAMFORD BRIDGE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top