• HABARI MPYA

  Thursday, May 30, 2024

  YANGA SC WAWASILI ZANZİBAR KUTETEA KOMBE LA TFF


  KIKOSI cha Yanga SC kimewasili visiwani Zanzibar kwa ajili ya Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) maarufu kama CRDB Bank Federation Cup dhidi ya Azam FC Jumapili kuanzia Saa 2:15 usiku Uwanja wa Amaan.
  GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC WAWASILI ZANZİBAR KUTETEA KOMBE LA TFF Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top