• HABARI MPYA

  Wednesday, May 15, 2024

  TAIFA STARS YACHAPWA 2-1 NA SUDAN KIRAFIKI SAUDI ARABIA

  TIMU ya taifa ya Tanzania imefungwa bao 1-0 na Sudan katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa King Fahd Sport City mjini Ta'if, Saudi Arabia.

  Katika mchezo huo, kocha Hemed Suleiman ‘Morocco’ amemtumia kinda wa umri wa miaka 17, Jabir Seif Mpanda (pichani) wa akademi ya Getafe ya Hispania, huo ukiwa mchezo wake wa kwanza Taifa Stars na alikuwa mchezaji mdogo zaidi zaidi ya wote uwanjani leo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TAIFA STARS YACHAPWA 2-1 NA SUDAN KIRAFIKI SAUDI ARABIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top