• HABARI MPYA

  Friday, May 17, 2024

  YANGA SC WALIVYOWASILI ARUSHA KUIVAA IHEFU JUMAPILI


  KIKOSI cha Yanga kimewasili salama Jijini Arusha kwa ajili ya mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) dhidi ya Ihefu SC keshokutwa kuanzia Saa 9:30 Alasiri Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini humo.
  Mshindi wa mechi za michuano hiyo ambayo sasa inatambulishwa kama CRDB Bank Federation Cup atakutana na mshindi wa Nusu Fainali ya pili kati ya Azam FC na Coastal Union zinazomenyana kesho Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.
  GONGA KUTAZAMA PICHA YANGA ILIVYOWASILI ARUSHA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC WALIVYOWASILI ARUSHA KUIVAA IHEFU JUMAPILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top