• HABARI MPYA

  Thursday, May 16, 2024

  CHELSEA YAIZABA BRIGHTON MABAO 2-1 DARAJANI


  TIMU ya Chelsea imeibuka na ushindi wa ambao 2-1, dhidi Brighton & Hove Albion  katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa The Amex, lFalmer, East Sussex.
  Mabao ya Chelsea yamefungwa na kiungo mshambuliaji, Cole Jermaine Palmer dakika ya 34 na mshambuliaji Mfaransa, Christopher Alan Nkunku dakika ya 64, wakati bao pekee la Brighton & Hove Albion limefungwa na Daniel Welbeck dakika ya 90'+7.Kwa ushindi huo, Chelsea inafikisha pointi 60 na kupanda kwa nafasi moja hadi ya sita, wakati Brighton & Hove Albion inabaki na pinti zake 48 nafasi ya 10 baada ya wote kucheza mechi 37.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAIZABA BRIGHTON MABAO 2-1 DARAJANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top