• HABARI MPYA

  Monday, May 06, 2024

  SERIKALI YAMTEUA ABUBAKAR BAKHRESA KAMATI YA MAANDALIZI YA CHAN NA AFCON


  WIZARA ya Utamaduni Sanaa na Michezo imeunda Kamati ya Maandalizi ya Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) 2024 na Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 ambazo Tanzania itakuwa mwenyeji kwa kushirikiana na Uganda na Kenya.
  Katika Kamati hiyo itakayokuwa chini ya Mwenyekiti, Leodegar Chilla Tenga mmoja wa Wajumbe ni Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Bakhresa Group Limited, Abubakar Said Salim Bakhresa kuwa Mjumbe.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SERIKALI YAMTEUA ABUBAKAR BAKHRESA KAMATI YA MAANDALIZI YA CHAN NA AFCON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top