• HABARI MPYA

  Monday, May 08, 2023

  AZIZ KI MCHEZAJI BORA WA LIGI KUU MWEZI APRILI


  KIUNGO mshambuliaji wa Yanga SC, Stephane Aziz Ki ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ye Tanzania Bara kwa mwezi Aprili, Abdallah Mohamed ‘Bares’ wa Tanzania Prisons akiwa Kocha Bora.
  Mchezaji huyo wa Kimataifa wa Burkina Faso, ameshinda Tuzo hiyo kuwa kuwazidi mshambuliaji Mkongo wa Simba, Jean Othos Baleke na kiungo mzawa wa Azam FC, Ayoub Reuben Lyanga.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZIZ KI MCHEZAJI BORA WA LIGI KUU MWEZI APRILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top