• HABARI MPYA

  Saturday, January 08, 2022

  ZOEZI LA UANDIKISHAJI WANACHAMA KIDIJITALI YANGA LAANZIA ZENJI


  ZOEZI la usajili wa wanachama katika mfumo wa Kidijitali na utoaji wa elimu juu ya faida za kuwa uanachama wa klabu ya Yanga ya Dar es Salaam limeanza rasmi eneo la Abla Beach Apartments, Barabara ya Malawi, visiwani Zanzibar.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ZOEZI LA UANDIKISHAJI WANACHAMA KIDIJITALI YANGA LAANZIA ZENJI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top