• HABARI MPYA

  Saturday, January 08, 2022

  WAMBURA WA TFF KATIKA JOPO LA WARATIBU AFCON 2022


  MKURUGENZI wa Sheria, Habari na Masoko wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Boniface Wambura (katikati) akiwa na Maofisa wenzake, Inas Mazhar wa Misri (Kulia) na Yousseif Guireh wa Djibouti katika kikao na timu ya Nigeria ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) Jijini Garoua nchini Cameroon.


  Wambura yupo kwenye jopo la Waratibu la Shirikisho la Soka Afrika (CAF) wa fainali za zinazotarajiwa kuanza Jumapili AFCON  Cameroon.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WAMBURA WA TFF KATIKA JOPO LA WARATIBU AFCON 2022 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top