• HABARI MPYA

  Saturday, October 02, 2021

  CHELSEA YASHINDA 3-1 STAMFORD BRIDGE


  WENYEJI, Chelsea wameibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Southampton katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London.
  Mabao y Chelsea leo yamefungwa na Trevoh Chalobah dakika ya tisa, Timo Werner dakika ya 84 na Ben Chilwell  dakika y 89, wakati la Southampton limefungwa na James Ward-Prowse kwa penalti dakika ya 61.
  The Blues wanapanda kileleni baada y kufikisha pointi 16 katika mchezo wa saba, mbele ya Liverpool yenye pointi 14 sawa na na Manchester United na Everton zinazofuatia.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YASHINDA 3-1 STAMFORD BRIDGE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top