• HABARI MPYA

  Sunday, August 01, 2021

  MBEYA CITY YATOZWA FAINI SH MILIONI 1.5 KWA MAKOSA MBALIMBALI YA UVUNJAJI KANUNI ZA MCHEZO DHIDI YA GWAMBINA ILIYOSHUKA DARAJA LIGI KUU


  TIMU ya Mbeya City imetozwa faini ya jumla ya Sh. Milioni 1.5 kwa makosa mbalimbali ya uvunjaji kanuni kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Gwambina iliyoshuka daraja.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MBEYA CITY YATOZWA FAINI SH MILIONI 1.5 KWA MAKOSA MBALIMBALI YA UVUNJAJI KANUNI ZA MCHEZO DHIDI YA GWAMBINA ILIYOSHUKA DARAJA LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top