• HABARI MPYA

  Wednesday, August 11, 2021

  KATIBU WA CAF ATEMBELEA UWANJA WA AZAM COMPLEX LEO AKIONGOZWA NA RAIS WA TFF, WALLACE KARIA KUJIONEA UWEKEZAJI KWELI

  KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Veron Mosengo-Omba akiwa na mwenyeji wake, Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia pamoja na Rais wa Shirikisho la Sola Ethiopia, Esayas Jira leo walipotembelea Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KATIBU WA CAF ATEMBELEA UWANJA WA AZAM COMPLEX LEO AKIONGOZWA NA RAIS WA TFF, WALLACE KARIA KUJIONEA UWEKEZAJI KWELI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top