• HABARI MPYA

  Friday, August 27, 2021

  RAIS WA TFF, KARIA AFUNGA KOZI YA GRASSROOTS DAR


  RAIS Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia leo amefunga Kozi ya siku tano ya FIFA ya Grassroots iliyokua inafanyika Makao Makuu ya TFF, Uwanja wa Karume, Ilala, Kozi Jijini Dar es Salaam ambayo ilishirikisha makocha 20 kutoka mikoa mbalimbali nchini.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAIS WA TFF, KARIA AFUNGA KOZI YA GRASSROOTS DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top