MAKOCHA 19 NCHINI WAJITOKEZA KUSHIRIKI KOZI YA UALIMU WA SOKA NGAZI YA DIPLOMA A YA CAF INAYOFUNDISHWA NA MKUFUNZI WA KIMATAIFA
MKUFUNZI wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Urlic Mathiot kutoka Shelisheli akifundisha Kozi ya Ukocha Diploma A ya shirikisho hilo, ambayo ni ya mwaka mmoja na inashirikisha makocha 19 nchini.
Item Reviewed: MAKOCHA 19 NCHINI WAJITOKEZA KUSHIRIKI KOZI YA UALIMU WA SOKA NGAZI YA DIPLOMA A YA CAF INAYOFUNDISHWA NA MKUFUNZI WA KIMATAIFA
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
0 comments:
Post a Comment