• HABARI MPYA

  Saturday, August 14, 2021

  EXPRESS YA UGANDA YATWAA KOMBE LA KAGAME KWA USHINDI WA 1-0 DHIDI YA NYASA BIG BULLET YA MALAWI LEO DAR


  TIMU ya Express ya Uganda imefanikiwa kutwaa Kombe la Kagame baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Nyasa Big Bullet ya Malawi, bao pekee la Martin Kizza dakika ya 22 usiku wa leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: EXPRESS YA UGANDA YATWAA KOMBE LA KAGAME KWA USHINDI WA 1-0 DHIDI YA NYASA BIG BULLET YA MALAWI LEO DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top