• HABARI MPYA

  Saturday, August 14, 2021

  MATOLA MA MGUNDA WAENGULIWA TAIFA STARS, NSAJIGWA SHADRACK ACHUKUA NAFASI YAO YA UKOCHA MSAIDIZI...IVO KOCHA MPYA WA MAKIPA


  SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limewaengua Seleiman Matola na Juma Mgunda katika nafasi ya Kocha Msaidizi timu ya taifa, Taifa Stars na kumteua Nsajigwa Shadrack katika jukumu hilo.
  Aidha, Ivo Mapunda ameteuliwa kuwa Kocha wa makipa, wakati Nadir Haroun 'Cannavaro' anaendelea kuwa Meneja wa timu, wote wakifanya kazi chini ya Kocha Mkuu, Mdenmark, Kim Poulsen.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MATOLA MA MGUNDA WAENGULIWA TAIFA STARS, NSAJIGWA SHADRACK ACHUKUA NAFASI YAO YA UKOCHA MSAIDIZI...IVO KOCHA MPYA WA MAKIPA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top