• HABARI MPYA

  Tuesday, August 10, 2021

  YANGA SC YASAJILI KIPA MWINGINE MGENI, SAFARI HII NI MRUNDI ERIC JOHOLA KUTOKA AIGLE NOIR YA KWAO
  KLABU ya Yanga imemtambulisha kipa Mrundi, Eric Johora kama mchezaji wake mpya wa tano kutoka Aigle Noir ya kwao, Bujumbura.
  Anakuwa kipa wa pili mpya, wote wa kigeni baada ya Djigui Diarra kutoka Stade Malien ya kwao, Mali.
  Wengine ni washambuliaji watupu, Wakongo Fiston Mayele kutoka AS Vita ya kwao, Kinshasa na Heritier Makambo kutoka Horoya ya Guinea pamoja na mzawa, Yussuf Athumani kutoka Biashara United ya Mara.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC YASAJILI KIPA MWINGINE MGENI, SAFARI HII NI MRUNDI ERIC JOHOLA KUTOKA AIGLE NOIR YA KWAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top