• HABARI MPYA

  Sunday, August 15, 2021

  TFF YAONGEZA IDADI YA WACHEZAJI WA KIGENI HADI 12 KUANZIA MSIMU UJAO LAKINI WANANE TU KUCHEZA PAMOJA


  KAMATI ya Utendaji ya TFF jana imekutana na kufanyia marekebisho kanuni mbalimbali za mashindano yake, ikiwemo juu ya idadi ya wachezaji wa kigeni katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara.
  Kuanzia msimu ujao wachezaji wa kigeni katika Ligi Kuu watakuwa 12 badala ya 10, lakini watakaoruhusiwa kucheza mechi moja ni wanane tu.
  GONGA HAPA KUTAZAMA VIDEO

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TFF YAONGEZA IDADI YA WACHEZAJI WA KIGENI HADI 12 KUANZIA MSIMU UJAO LAKINI WANANE TU KUCHEZA PAMOJA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top